Walter Chilambo atangaza kutaka management mpya ya kumsimamia ili aweze kurudi kwenye game.
Mshindi huyo wa bongo star search 2012 Walter chilambo amesema anasikitishwa na tabia ya mamanager wengi anaokutana nao kuwa na maneno mengi bila vitendo, Hivyo anataka management au kampuni yenye uhakika isimamie mziki wake kwani uwezo bado upo na ana uhakika na mziki wake ila mda tu bado.

