Wednesday, October 28, 2015

Wizkid awawakia na kuwatukana Watu wa blogging na waandishi nigeria


Msanii mdogo kwa umri lakini anayefahamika na kukubalika zaidi nigeria Wizkiad balogun amewaka na kugombana na waandishi wa blog za nigeria baada ya kuandika habari za uongo za kwamba alilipwa kufanya show ila akaingia mitini.

Kwakupitia twitter wizkiad ambaye amefanya nyimbo na drake wa marekani. alitweet blogger huyo ambaye amekuwa akisambaza chafu juu yake.