Akizungumza kwenye kipindi cha XXL
Dee alisema
“Jinsi unavyopata maumivu makubwa kila mtu mwisho wake anayapokea tofauti, wengine wanajinyonga, wengine wanakata tamaa, wengine waanzisha maisha mapya,” aliiambia XXL ya Clouds FM.@
“Jana first time kupitia muziki, jana ndio nimejinunulia gari. Nyandu shahidi na nikamwambia Nyandu hii gari ninaiweka parking tu, nimeipaki.”

