Tuesday, November 3, 2015

Alicia Keys Kumshirikisha Wizkid


Msanii wa Nigeria Wizkid ni kama nyota yake imengaa akiwa mdogo sana kijana huyo mwenye miaka 21 ameshafanya collabo na wasanii wakubwa wakiwemo wanigeria wote pamoja na Drake,Chris brown,Tyga,Rkelly na this tym Alicia keys ameoneakana kuonesha kuvutiwa kwake yeye na mme wake kuvutiwa na Wizkid.

Mwanadada huyo ambae ni hit maker wa No one na nyingine nyingi ikiwemo aliyomshirikisha Nicki minaj Pianoman ameonesha kuvutiwa na nyimbo za wizkid baada ya yeye na mume wake kupost video kibao insta wakicheza nyimbo za wizkid na kumtag.

Juzi tulisikia Wizkid alialikwa kuperform Kwenye tamasha la alicia keys na sasa Wizkid alisema pia wataingia studio kufanya collabo.

Wizkid aliyaongea haya kwenye interview akiwa tanzania Eatv na Sam missago.