Nyota huyo amenunua ndege yenye jna la Gulfstream G200 business jet. ni luvury na ina uwezo wa kubeba watu 8 mbaka 10. na kila mtu akapata bafu ,choo,internet,simu na burudani yake binafsi.
Soka la wenzetu linalipa je kaseja akinunua Benzi tuu ingekuwaje?


