Tuesday, November 10, 2015

Harmonize : Q chief alitaka nimuuzie nyimbo yangu

Msanii ambae yupo chini ya management ya wcb harmonize amesema kwamba msanii nguli na mkongwe q chief alimuomba amuuzie nyimbo yake ya (Kidonda changu)

Harmonize aliyasema haya akihojiwa na Ayo tv (Millard ayo) huku akieleza kwamba alikuwa yupo bichi anapunguza mawazo ghafla prodyuza wake Mazuu anampigia simu kwamba qchief anamuita studio

Akapanda piki piki na hela ililiupwa na qchief alivyofika na ghfla q chief alimueleza kwamba anataka kurudi kwenye game hivyo anatafuta nyimbo kali yakrurdi nayo

hata hivyo harmonize alikataa na badala yake akaamua kumuandikia qchief nyimbo nyingine inayofanana na hiyo(For you ya qchief)

Hazrmonize aliongelea mengi ikiwemo kuuza mtumba na kufukuzwa kwa shemeji yake angalia video hapo chini.