Tangu hapo alipata tabu ya kuishi kutokana na familia yake haswa watoto wake kushindwa kuishi nae " wengi hupiga kelele wakiniona ghafla,Nilizani itakua mwanzo tuu labda baadae waatanizoe lakini hata baada ya miaka mitano bado hali ni ile ile" alisema Pat Hardison.
Lakini ssa hali ni tofauti kwani jamaa huyo amepata msaada wa kupewa sura ya marehemu David Rodebaugh ambae aifariki kutokana na ajali ya baiskeli, Na wazazi wake waliridhia kumchangia sura Mr Pat hardison kutokana na kwamba marehemu alipenda kuwa askari kamna Pat.
Jamaa huyo alielezea kwamba ilikua ji siku ya kawaida tuu waliingia askari watatu kumuokoa mwanadda kwenye nyumba iliyowaka moto lakini kwwa bahati mbaka aliangukiwa na paa na helmet aliyovaa ikawaka moto na kuyeyukia usoni kwake.
Hali hii ilimfanya Pat hardison kusikia maumivu na kulivua helmet kisha kuvuta pumzi na kufunga macho yake hali ambayo madaktari wanadhani ndo iliokoa macho yake na kutokumfanaya kipofu.
Zaidi ya madaktari 100 walihudhuria operation yake hiyo ambayo ilichukua masaa 26.August mwaka huu. Kweli teknolojia imevamiwa.
Hata hivyo pat sio wa kwanza kufanyiwa kitu kama hii kwani wapo wachache waliwahi fanyiwa hivi japo ya pat ni ya kutisha zaidi tunakumbuka mwanadada issabelle dinoire kuwahi kuwa wa kwanza kufanyiwa hivi baada ya ajali ya gari.




