Tuesday, November 17, 2015

Picha:Ninapenda ngono na niko addicted--Hichi ndicho alichojibu huddah monroe


Kurasa za jamii(Social media) zimekuwa sehemu za kukutanisha mastaa na watu wa kawaida lakini mara nyingi mashabiki wamekuwa wakitumia nafasi hiyo kutukanana na mastar ,mastar wengi hujisitiri na kupotezea matusi hayo.

hata hivyo hali imekuwa tofauuti kwa mwanadada mkenya huddah monroe ambaye aliwahi kuja tanzania na kuhojiwa na millarrd ayo.Mwanadada huyo ameamua kumpasulia chunbgu shabiki huyo na kumuambia ukweli.

Hichi ndicho kilichotokea.