Tuesday, November 3, 2015

Wema Sepetu - Diamond angekuwa mume wangu wa maisha!!!



Mapenzi ni kitu chenye nguvu sana pamoja na mda wote kupita toka wema na diamond kuachana wema bado hajaacha kumtamka Jina la naseeb ,

Juzi wema akihojiwa mwanza Jembe fm Alisema kwamba Naseed abdul ndie mwanaume alietaka awe wa maisha kwake hatahivyo mambo hayakuwa kama yalivyo pangwa baada ya wawili hao kutengana.

Hivi sasa Diamond ni baba wa mtoto mmoja (Tiffah) Kwa mpenzi wake na mke mtarajiwa Zari ambae ni mganda anayeishi south africa.