Diamond ambaye anafollowers zaidi ya Million 1 kwenye Instagram kwasasa amekua verified kwenye account zake zote za mitandao ya kijamii, ikiwa na maana ya kuwa anatambulika kimataifa.
Diamond ni staa wa pili Tanzania kuwa Verified Instagram, wa kwanza ni Flaviana Matata.


