Saturday, October 24, 2015

Naenda kuwasikilizisha BASATA ngoma yangu mpya kabisa, wakizingua Nawazingua – Roma Mkatoliki

Rapper Roma Mkatoliki amepanga kuachia ngoma yake mpya kesho, amesema anaenda kuwasikilizisha Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) kabisa ili wasije ifungia ikishatoka.
Kwa mujibu wa Post alioiweka amesema iwapo BASATA itampa Go ahead ataachia ngoma yake mpya kesho asubuhi
Lakini ikitokea wakamzingua na yeye atawazingua vivyo hivyo