Wednesday, October 28, 2015

Barnaba na weusi wahairisha kutoa nyimbo yake kwa sababu ya joto la uchaguzi


siku chaceh zilizopita barnaba aliahidi kurelease nyimbo yake tarehe 30 ambao kwenye mwimbo huo alimshirikisha chameleone.. Lakini leo barnaba amesema kwa sababu za joto la uchaguzi uongozi wake umeamua kusogeza siku za kuutoa na kuupa mbele uchaguzi nafasi.

Lakini pia hali hii imeonekana kwa weusi

Wiki iliyopita Weusi waliahidi kuwa wiki hii Joh Makini na G-Nako wangeachia video za nyimbo zao mbili mpya, moja ni ‘Don’t Bother’ ambayo ni collabo ya Joh na rapper AKA wa Afrika Kusini pamoja na ‘Original’ ya G-Nako, ambazo video zake zote zimefanyika Afrika Kusini na kuongonzwa na Justin Campos. Pia Nikki ilikuwa aachie single yake mpya ‘Baba Swalehe’ Ijumaa hii.

Nikki wa pili ameeleza sababu pia kua ni uchaguzi na amesema atataja tarehe ya kurelease kila kitu kikikaa sawa