Wednesday, October 28, 2015
Msanii wa bongo movi wema sepetu ambaye pia anamiliki Reality show na kampuni Ya "EndlessFame" Wema sepetu amewaacha mdomo wazi mashabiki wake baada ya kupost picha za kushtua akiwa na mpenzi wake Louis munana
Luois munana aliwahi kushiriki BBA 2014 ambaye ni rafiki mkubwa sana wa mshindi wa BBA idris sultan