Thursday, October 29, 2015

Barnaba na Naj waingia studio - Naji kurudi kwenye Game?

Msanii wa kike aliepotea kwa mda Naj ambae aliwahi kutembea na mr blue ameonekana kuingia studio ya barnaba(High table music) na barnaba mwenyewe ikiaminika wameingia kurekodi,Je naji ana mpango wa kurudi? Hunda ikawa kick ya kumrudisha naj kwenye game. Barnaba ambae juzi alifungua studo yake ya high table music amesign wasanii tofauti tofauti yawezekana huyu nae akasin chini ya high table.Yetu macho.