Msanii wa bongo movie shamsa ford anakaribia kumaliza mkataba wake na kampuni ya Jacob stephen Jb filmz,Hivyo shamsa anadai kufungua kampuni yake mwakani ambayo pia mbaka sasa ina filamu moja.
Shamsa aliongeaa haya akizungumza na wanahabari wa bongo 5

