Diamond ambaye pia amechukua kipengele cha african act kutoka tuzo hizohizo alikuwa akichuana na Mwanadada kutoka India Priyanka Chopra ambaye aliwahi kuwa Miss world 2000
Diamond amepeperusha bendera ya tanzania kwa upana pamoja na east africa kwakuwa tuzo hii kubwa haikuwahi kuja east africa hata siku moja.
Uongozi wa bongo mixed unamtakia kila la kheri Diamond Platnumz kwenye safari yake ya kuipeperusha bendera ya tanzania.

