Monday, October 26, 2015

Headlines zilizovuma zaidi Kwenye Uchaguzi jana




-Wakenya Mpakani wasema uchaguzi huu sio wa kawaida

-Tume ya uchaguzi yaonya wanasiasa na Raia

-Wananchi wa zanzibar wanunua vyakula vya akiba kwa kuogopa uchaguzi

-Je polisi wamejiandaa vipi uchaguzi tz?

-Sokomoko kuhusu wapigaji kura Mwanza

-Moja kwa moja Kuhesabiwa kwa kura kwaanza Tanzania

-Matokeao ya kura yaanza kutangazwa Jumatatu

-Ukosefu wa taa watatiza uhesabu wa kura Pemba

-Sentensi za january Makamba kuhusu Upigaji kura ulioanza

-Mastaa wa bongo 20 waliothibitisha kupiga kura

-Rais Kikwete akipiga kura na mipango yake akistaafu

-Usafiri wawa mgumu baada ya madereva kuacha mabasi kwenda kupiga kura