Thursday, October 29, 2015
Mke na mzazi mwenza wa sugu baada ya matokeo ya uchaguzi faiza ally ametamka upitia ukurasa wake wa instagram ya kwamba bado ana mpenda mzazi mwenzake huyo na kusema sio lazima alale nae ndo aonekane anampenda. kwake anaona bado ana upendo wa ukweli.