Saturday, October 31, 2015

I phone yauza simu kwa tanzania nzima ndani ya miezi mitatu

Kampuni ya simu ya marekani ya Iphone imevunja rekodi yakuuza simu milioni 48 sawasawa na tanzania nzimma kwa miezi mitatu hii imetokea baada ya kutoa simu zao za Iphone 6 na iphone 6 plus.

Takwimu hizi zikiifanya iphone kuingiza karibu dola bil 250 ndani ya miezi mitatu sawa na trilioni 500