Friday, October 30, 2015

Z anto kurudi tiptop connection?

Msanii Z anto ambaye aliwahi kuwa chini ya tiptop connection amewaacha mdomo wazi mashabiki baada ya kuonekana kuwa na uhusiano ulio hai wa maneno yake na ya meneja wake wa zamani Babutale.

Manager huyo babutale ambae kwa sasa ana manage wassanii wengi akiwemo diamond amesema yuko tayari kufanya kazi tena na z anto kwa sababu ana heshimana anaweza.

wakati huo huo Z anto naye aliulizwa nba kusema yuko tayari mkurudi tiptop kwa sababu hakugombana nao ilikua ni ujana tuu,,

je tutegemee z anto kurudi kundini tiptop na akina diamond na yamoto??