Saturday, October 31, 2015

Ice prince Kuvunja rekodi baada ya video yake kuekwa kwenyue App playlist ya jayz

Boss singer Ice prince wa nigeria aliewahi kumpa shavu la kufanya nyimbo na jokate mwegelo ya leo leo, ameenda level nyingine na kuvunja rekodi afrika baada ya video yake kuwa video ya kwanza kuwa featured na kuekwa kwenye app ya jayz ya Tidal.

Nyimbo hiyo ya boss imekuwa nyimbo ya kwanza afrika kuekwa kwenye app hiyo ya jayz ambapo nyimbo za marekani ndo huekwa sana,Nyimbo hiyo ya ice prince imeekwa sambamba na nyimbo ya mwana dada adele "Hello" ambayo imevunja rekodi ya kuangaliwa na watu milioni 100 ndani ya siku tano.

Baada ya kuekwa kwenye application ya Tidal rafiki yake Ice prince Jeremiah ogbodo alimpost ice prince akisema  “The music video for Ice Prince Zamani’s new single, Boss, has become the first ever African video to premiere on Jay Z’s music streaming service, Tidal. @iceprincezamani congrats #iceprinczamani #workoverflow #swankyjerry #circulate #trending.”