Saturday, October 31, 2015
Msanii,Producer manager na Brand ambasador wa John walker Don jazzy amezidi kuonyesha mapenzi yake na magari baada ya kuachia picha mbali mbali za magari yake ya kifahari,Ambayo huenda akawa muimbaj9i mwenye magari ya kifahari zaidi afrika.