Msanii wa kizazi kipya marekani ameonesha mapenzia na afrika baada ya kufululiza na matukio na waafrika kama kushiriki mtv mama,kufanya collabo na diamond,na kuperform cokestudio kenya na Alikiba na safari hii yupo uganda tena kufanya show kwenye uwanja wa cricket wa lugogo...ikiwa ni mara ya kwanza kutua uganda