Mkali huyo ambaye kwa sasa anfurahia matunda ya kazi yake ngumu aliyofanya mwaka huu amedai kuiita birthday yake ya leo "White party" kama zari wa diamond anavyoiitaga sherehe zake zote.
Iyanya leo anatimiza miaka 29.
Hall for Bongo music and news on trend