Saturday, October 31, 2015

Picha:Don Jazzy kununua Gari Italy?

Msanii wa Nigeria,Producer na mmiliki wa Mavin record Label Don jazzy amewaacha mdomo wazi wa nigeria baada ya kuonekana na picha nyingi akiwa ndani ya magari ya kifahari nchini Italy hii si mara ya kwanza kwa msanii huyu ambae ana tabia ya kuvutiwa na magari na kwakuwa safari hii ameyafwata Italy je ameenda kununua Gari huko?

Juzi kati Don jazzy alionekana kupewa ubalozi wa kinywaji maarufu cha John Walker kwa nchini nigeria.