Mengi yameripotiwa kutoka kwenye show ya Wizkid jana ambayo Wizikid,Diamond,Christian Bella na Fid q walifunika kwa perfomances zao stageDj ommy alifunika kwa kutukana watu matusi,Diamond Alifunika kwa style zake mpya na za maringo za kucheza hata mashabiki walifunika kwa kushangilia lakini Muigizaji wa bongo movie yeye aliamua kwenye kumtunza mpenzi wake ambae ni dancer wa diamond platnumz na kumwagia pesa nyingi sama huku akiendelea kudumisha penzi hilo.
