Jana wema alikuwa na happy birthday yake iliohudhuriwa na masuperstaa wengi ikiwemo,lulu,petitman,idris,stve nyerere,millard ayo na wengine wengi na alijizawadia gari ambalo alitaja kwa mdomo wake ni la gharama ya 90,000$ ambayo sawa sawa na mil 180
Hii ni hatua kubwa kwa mwanadada huyo ambayo pengine akarudi kufanya muvi mda wowote,Hongera kwake.