Binadamu anayeshikilia rekodi ya kuwa mrefu zaidi duniani Pornchai Saosri amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 26..
Jamaa huyo alikuwa na urefu usio wa kawaida wa kipimo cha 8ft 8ins (269cm) alipelekwa hospitali siku si nyingi akiwa na muendelezo wa mashambulio ya magonjwa ikiwemo kukua kwake kusiko kwa kawaida
Jamaa huyo alikuwa analelewa na baba ake Saran na mama ake Mrs Woen mbaka alipofariki ghafla jana saa 10.05am tarehe November 9



