Tuesday, November 10, 2015

Mwanamke ashitaki kuzaa na mzimu wa michael Jackson



Mwanamke mwenye umri wa miaka 32 amelala mika kuzaa na mzimu wa michael jackson na kuitaka familia ichukue hatua

Mwanamke huy alieleza alikua anaangala dvd ya michael jackson,Ghafla akasinzia na akaenda kulala lakini alipokuwa usingizini alisikia mtu akimshika na kumuomba unyumba na alimkataza lakini hakutaka kusikia Wakati huo mme wake alikua kazini.

Mwanamke huyo anadai baada ya mda aliona sura ya michael jackson mweusi na akalala nae,akaipotezea nakujua ni ndoto.

na baada ya mda tarehe 25th September 2015  alipata mtoto chakushangaza mtoto huyo alikua mweusi na hivyo mojamoja anaamini ni mtoto wa michael jackson.

Na pia anasisitiza kuipa familia ya jackson mbaka mwaka 2016 waanzae kumuhudumia mtoto wao.

Daah dunia ina mambo!!!