Saturday, November 28, 2015

Diamond ft Mafikizolo Wanafanya video yao December 10


Baada ya mashabiki kusubiri kama mwaka toka waahidi kolabo hiyo kundi la muziki la south africa (Mafikizolo) na msanii Diamond platnumz wamedhihirisha kufan ya video ya wimbo wao mwezi december tarehe 10.

Maneno haya yalidhihirishwa na diamond siku za nyuma kiogo kupitia twitter lakini kama haitoshi member wa mafikizolo ametaja tarehe ya kufanya video hiyo kupitia instagram alipokuwa akimjibu shabiki aliandika,

"“We are shooting a video with @diamondplatnumz on the 10th of December boss we know you guys have been waiting, one love.”"

Hata hiyo wimbo huo ulishafamnyika kutoka mwaka jana south africa.

Kaa nasi na subscribe ili uwe wa kwanza kujionea kollabo hilo likitoka.