Saturday, November 28, 2015

Picha: Nisher amuweka mchumba wake wazi na atarajia kumuoa

Nisher george david ambaye pia wengi humuita Nixher ni director wa video za mziki bongo hivi karibuni amekuwa busy kidogo na kutokuachia video za mziki lakini uwenda ikawa ni kwa sababu ya mwanamke alieamua kumuweka wazi ambacho si kitu cha kawaida kwa director huyo.

Hivi karibuni nisher amekuwa akiachia picha za mrembo huyo.