Dunia ina vituko imagine umepaki gari umeenda kuangalia cinema na mpenzi wako unarudi unakutana na barabara tupu badala ya gari?utafanya nini kama sio kuanza kutafuta gari kwenye mifuko?jamaa huyu amekutana gari la watu na bila aibu mchana peupe akachana bodi ya juu na kuanza kujisevia.
Mzungu huyo amepatikana kwenye video za cctv za mitaa hiyo masaa machache baada ya kufanya jaribio hiylo ambalo kwa mujibu wa chanzo alishindwa kufanikiwa kuiba gari hilo japo aliweza kuingia.
Asante kwa kutembelea blog hii, Wewe ni mwanafamilia yetu ,tafadhali ungana nasi www.teezee255.com

