Wednesday, November 11, 2015

Kutana na mwanadada anayefanana na Milley cyrus vivyo hivyo

Mardee Shackleford mwanadada ambae anafanana vivyo hivyo na msanii miley cyrus ambao wengi walimfahamu kipindi anaact ,movie ya Hannah montana ,mwanadada huyo ambae wengi humfananisha na miley amesema amekuwa akikwepa kukutana na watu kwani wengine husimamisha magari yao na kumuomba kujipiga nae selfie wakidhani ni miley cyrus.

 Pia watu wamekuwa wakiamini ni miley ameamua kuingia mtaana na kutembea kwa mguu kwa sababu dada huyo ana matukio mengi ya kichizi chizi hivyo hawezi shindwa kufanya hivyo. Mwanadada anayefanana na Miley alipohojiwa aliyasema haya

'Several times I have been sitting in traffic and people have slid open the back door of their car and kids will start yelling, "Miley",'  'Sometimes it feels like I am actually famous or a celebrity, just on a really small scale. It's been really fun for me.'Though I post photos with my tongue out, that's a pose I have been doing all my life and I am comfortable with,'



Asante kwa kutembelea blog hii, Wewe ni mwanafamilia yetu ,tafadhali ungana nasi www.teezee255.com