Friday, November 20, 2015

Jude okoye amlipukia shabiki aliyemchora



Kumekua na mtindo maarufu wa wasanii kupost picha walizochorwa na mashabiki wao na wengine kutopost kabisa baada ya kutumiwa picha hizo,kama unakumbuka Kuna jamaa mwanzania aliwahi kumchora Neyo wa marekani na neyo alimpa shoutout.Hata psquare waliwahi chorwa walivyokujaga tanzania.

Hata hivyo hali imekuwa tofauti kwa ndugu wa psquare Jude Okoye baada ya yeye kulipokea tofauti jambo hili.

Manager na Producer wa kundi la mziki la "Psquare" Mr Jude engees okoye amemlipukia shabiki mchoraji ambae inaonekana alimtumia picha hiyo ya kuchorwa kwa mkono. na kumwambia kwamba hata hafanani na kilichochorwa ,Jude alipost hiyo pista na kuandika:

"Worisdis? �� Does the sketch look like me?"