Friday, November 20, 2015

Picha:Koreddebello wa Godwin kurudi Shule Kusoma



Pamoja na kufanya mziki na kupata jina bado hit maker wa Godwin Koredebello ameonyesha kwamba kwake kuna umuhimu wa kwenda shule bado baada kusema anarudi kusoma "High Diploma Studies" (Hds)

Msanii huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya Mavin Recors Label ya Producer Donjazzy amepost picha hiyo na kutoa ushauri kwa vijana akisema "Stay Educated".

Je suala hili unalifananisha na la msanii gani hapa bongo?Dogojanja? mi simo. lol