Friday, November 13, 2015

Juz aingiza sokoni nguo zake za brand ya "African boy"

Baada ya kuzua utata alivyopost picha ya milioni mia kwa pamoja na kusema kwamba zote ni zake na amewahi zishika toka akiwa na miaka 22 hivyo azimpi presha Jux ameonyeza kuvutiwa na biashara na mziki baada ya kuingiza brand ya nguo zake zinazoitwa "African boy".