Friday, November 6, 2015

Katy perry avunja rekodi Ya mwanamke anayelipwa zaidi kwa mziki (135$)


Mwanadada mmarekani mwanmziki Katyperry aliyewahi kuvunja rekodi na bado anashikilia rekodi ya nyimbo ya pili kwa views nyingi youtube Katyperry amewapiku wakina beyonce,Nickiminaj na wengine wengi kwa kuwa mwanadada aliyelipwa hela nyingi zaidi na mziki mwakahuu.

Wengine waliokwenye list ni

2. Taylor Swift ($80 million)
3. Fleetwood Mac ($59.5 million
4. Lady Gaga ($59 million)
5. Beyoncé ($54.5 million)

6. Britney Spears ($31 million
7. Jennifer Lopez ($28.5 million) 
8. Miranda Lambert ($28.5 million)
9. Mariah Carey ($27 million)
10. Rihanna ($26 million)

Nickiminaj naye amejitahidi kufika two digits japo hakuweza kuingia top 10.