Friday, November 6, 2015

Mtoto wa Davido apandishwa ndege Kwa mara Ya kwanza

alwayz Hit maker wa nigeria Davido ambaye pengine ndiyo mniger mwenye hit nyingi zaidi amempandisha mtoto wake ndege kwa mara ya kwanza.Na kupost picha yake akiwa ndani ya ndege

Hata hivyo Diamond ambaye ndiye msanii wa kumlinganisha nae kwa hapa Tanzania amemuwahi kwakuwa mtoto wake (tiffah amekwisha panda ndege kabla ya wa davido.