Tuesday, November 10, 2015

Nilitaka Kufa Kwa sumu-Mr nice

Msanii wa mda kidogo(mkongwe) mr nice ambaye tunaweza sema alipotea kwenye game kwa mda kidogo ameelezea kwamba alitaka kupoteza maisha baada ya kueekewa sumu kwenye chakula.

Msanii huyo aliongea hayo akiwa kwenye kipindi cha Planet bongo cha east africa radio.

Na amesema hakutaka kuieleza ishu hiyo kwenye media iwe kiki kwanin ilikua ni hali ya hatari kwenye maisha yake mabka leo hajajua nani aliweka na ni kwa lengo gani.


Asante kwa kutembelea blog hii, Wewe ni mwanafamilia yetu ,tafadhali ungana nasi
www.teezee255.com