Sunday, November 8, 2015

New Music Harmonize - Kidonda Changu | Download

Baada ya kufanya vizuri na hit yake ya kwanza chini ya wasafi_wcb namzungumzia harmonize ameamua kuachi nyimbo yake ya pili ambayo Msimamizi wake Diamond Platnumz kutoka uongozi wa wcb alieleza kwamba hii ilikuwa ndio nyimbo iliomfanya aone harmonize anaweza na kuamua kumsign chini ya labe hiyo kwa mara ya kwanza.

Hata hivyo Manager huyo ambaye pia ni msanii wamuziki Diamond alieleza hawana mpango wa kuachia nyimbo hiyo rasmi hivyo wameona waieke nyimbo hiyo mtandaoni watu waisikilize huku wakienjoy video ya nyimbo yake iliyopita "aiyola".

Download mp3 hapa