Ndoa hiyo imefanyika Mjini Tomsk kwenye Cafe ya Pizza kwakua mahakama ilikataa kusajili ndoa hiyo pia mapadri walikataa pia Hivyo wuza cafee hiyo waliamua kuwa wasimamizi na kufungisha Harusi hiyo.
Jamaa huyo alipohojiwa juu ya uamuzi huo alijibu
"Love between two humans is a complicated wild thing," na kusema "Pizza, on the other hand, would not reject you or betray you, and speaking quite frankly and sincerely, I love it."
Cafe hiyo ilimkabidhi na cheti cha kutengenezwa cha harusi kuhalalisha harusi hiyo.Je wewe ungeoa nini kwenye maisha yako ukiachana na mke?Gari? au ungeoa bia?
Toa maoni yako, Asante



