Friday, November 20, 2015

Vanessa Mdee Kufanya Kollabo na Tekno wa "Duro"


Mwanadada Vanessa mdee ambaye wengi umita Vmoney mwenye nyota ya kushine pengine kati ya wanadada wengi waliopo yeye ndio anaongoza kwa wanamziki wa kike hapa tanzania.Vmoney ambaye juzi alitokwa na machozi kwenye sherehe ya Wema sepetu  na kueleza kwamba sababu ni kwamba ana uchungu wa mafanikio amewataarifu mashabiki wake kwamba wategemee kollabo yake na Tekno hit maker wa Duro.

Vanessa amepost kupitia ukurasa wake wa instagram picha yake yeye na Hit maker huyo ambae pia ni prodyuza so pengine vanessa kwa mara ya kwanza atafanya track nje ya studio za the industry,Kwani toka aanze kufanya kwa nahreel ajawahi kuacha.

Vmoney aliandika haya
“wait for it … @teknoofficial #Alhaji #MoneyOnTheTrack”

Pia hit maker na producer huyo(Tekno) hakuwa nyuma aliandika haya
“Get ready #Vee&Tek cc @vanessamdee”