Friday, November 20, 2015

Picha: Jihadi wavamia mali na kuteka watu 170

Makundi yakigaidi yamekuwa yakiongoza kufanya mashambulizi kila nchi duniani Kwanzia west gate nchini kenya,Nchini paris,Boko haram wanavyoisumbua Nigeria Safari hii Kundi la jihadi lavamia hoteli na kuteka watu 150 jna wafanyakazi wa hoteli 30,inayojenga jumla ya watu 170.

Hoteli hiyo inayoitwa Radisson Blu hotel inatumikaga na watalii na wafanyakzi wa ndege ya Airfrance.

Ndani ya Hoteli hivyoyenye vyumba 190,Ilisikika milio ya risasi na baadae yote ilikua chini ya mateka ya kikundi hico ambacho kuna tetesi kwamba watu walioweza kutaja mistari ya quran waliachiwa.