Mwimbaji na celebrity wa marekani alisjhika headline baada ya kumkimbiza mwizi mgahawani na hatimaye kumdaka na kupora simu,Wengi walimpa Selena superwoman na kumuona kama Hero kwakufanya hivyo Selena aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook situation nzima ilivyoyokea.