Mwanadada huyo pia amefungua duka lake la kuuza Jewelry(Urembo wa madini) Nchini humo humo nigeria na kuipa jewwerl yake jina La "YEMI ALADE'S JEWELRY"
Pichani ni mwanadada huyo akiwa kwenye sherehe za kuzindua jewelry yake hiyo.Hii 9inaonyesha dhahiri namna mziki wa nigeria unavyolipa. Wasanii wetu waichukulie hii kama changamoto.

