Friday, November 6, 2015

Rais John pombe Magufuli Afanya Ziara ya kushtukiza na kukuta uodho Wizara ya fedha

Pin It
Siku moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Tanzania, Dokta John Magufuli ameanza kuifanyia kazi kauli mbiu yake ya ‘Hapa Kazi Tu’, kwa kufanya ziara ya kushtukiza kwenye wizara ya fedha Ijumaa hii.


Rais huyo amedaiwa kutembea kwa mguu kutoka ikulu hadi kwenye ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
10299753_459716437546849_1576084077_n
Hata hivyo kwakuwa hiyo ilikuwa ni ziara ya kushtukiza, maofisa wengi walikuwa nje ya ofisi wakipiga mishe mishe zingine.
20151106033935
Akiwa kwenye wizara hiyo, Dk Magufuli amekagua ofisi zote na kuzungumza na wafanyakazi.

Source Bongo-5

Pin It

Add a comment

5 comments