Friday, November 20, 2015

Throwback:(Picha)Tbt za diamond na alikiba wakiwa pamoja

Ukizungumzia mziki wa bongo huwezi kuacha kutaja wanamziki wawili Diamond na alikiba.
Utataja wengi kama vanessa mdee,Ommy dimpoz,Joh makini but huwezi waacha Diamond na Alikiba,

Pengine ni kwasababu ya bifu iliopo kati yao ambayo wao wanaikataa kila wanapohojiwa hata uongozi wao huonyesha kukana bifu hizo,Lakini ukiingia kwenye mitandao ya kijamii hasahasa instagram mashabiki wanonyesha kupingana kikali na pande hizo mbili.

Kuna Teamkiba na Team Chibu,Wasafi,Mondi bin awards kama wanavyomuita.

Lakini ikumbukwe diamond pamoja na kuwa juu kiasi hiki alim,kuta alikiba kwenye game,Na ndio maaana na kuletea(Throwback)#tbt picha ya alikiba na Diamond wakiwa pamoja enzi za kutoka kwao.