Friday, November 20, 2015

Samuel Etoo Aomboleza juu ya mashambulizi Nigeria



Kama wewe ni shabiki wa mcheza soka samuel etoo na unamfuatilia utakuwa umeshagundua kwamba na yeye amejiunga na maelfu kubadilisha picha yake kwenda bendera ya nigeria,Mwanasoka huyo amefanya hivyo kuomboleza mashambuliz yanayoendelezwa na vikundi vya waasi nchini humo.ambayo yaliua watu kama 50 nchini humo wiki iliyopita.

Samuel etoo hakuishia kubadilisha picha pekee pia alipost haya

 My heart is bleeding again in front of such atrocities. What an injustice! My most saddened thoughts go towards my brothers and sisters in Nigeria, victims of repeated violences, such as the explosions which took placed in Kano and Yola, yesterday and the day before. As I have stressed it during my speech at the ‪#‎YWBall‬ last month, we must become aware and fight indifference, in order to aspire to peace. ‪#‎PrayForNigeria‬