Sunday, November 1, 2015

Tiwa Savage amuwakia mpiga picha aliyetaka kumphotoa mwanake

Muimbaji aliye chini ya record label ya mavin records Tiwa savage amcharukia mpiga picha baada ya mpiga picha huyo kutaka kupiga picha za mtoto wake.

Mpiga picha huyo baada ya kufungua kamera na kutaka kuphotoa alimrukia na kufunika kamera ya mpiga picha huyo huku akifunika jicho au lensi ya kamera hiyo.

Baada ya hapo mwanadada huyo ambaye anahit na vibao vingi ikiwemo alichoshirikishwa na tiwa savage hakuishia hapo alimpora kamera mpiga picha huyo na kuhakikisha ajapata picha ya mtoto wake hata kidogo alipojiridhisha ndio aliondoka na kuendelea na mambo yake.