Monday, November 2, 2015

Yemi alade kuweka rekodi youtube africa

Msanii wa nigeria Yemi alade ambaye ni hit maker wa single ya Johhny ameeka rekodi africa kuwa msanii wa kwanza wa kike kufika viewers milioni 30 youtube.



Dada huyo ambaye yupo chini ya record label ya Effyzzie Ameshika record hiyo ambayo tunaifananisha na ya mwanadada shaa ambayo yeye alifikia views milioni 20 kwenye hit yake ya sugua gaga.

Japo cha kushangaza ni kwamba nyimbo halisi ya sugua gaga ina views m,ilioni 1 lakini ambayo imeuploadiwa na mwanadada Seka moke ndo ina views milioni 20.